Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika shughuli zao binafsi.
Lakini ibada za mwaka huu makanisani na matukio yake yanahudhuriwa na watu wachache kutokana na mlipuko wa virusi vya corona . Kukaa mbali na kuvaa barakoa kwa sasa ni lazima. Chanzo cha picha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results