Bi Kamala alitembeleanchi tatu za Afrika Ghana, Tanzania na Zambia ambazo kwa pamoja zinawezimepiga marufuku mapenzi ya jinsia moja. Bi Harris alilitaka bunge la Ghana kuwa na usawa kwa watu wote.