WABUNGE leo watapokea mapendekezo ya serikali ya kiwango cha ukomo wa bajeti na mpango wa Mwaka 2025/26. Bajeti ya mwaka 2024 ...
Baraza la Chini la Bunge la Japani limepitisha mswada wa bajeti ya mwaka ujao wa fedha unaoanza mwezi Aprili. Mapema jana Jumanne, kamati ya bajeti ya baraza hilo iliidhinisha rasimu ya bajeti.