Chanzo cha picha, Mwananchi Mabadiliko haya katika Jeshi la Polisi Tanzania, si ya mara ya kwanza, kumekuwa na mabadiliko mengi ndani ya jeshi hilo, lakini mabadiliko ya sasa ni kama yalikuwa ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania limewafukuza kazi maafisa wake watatu kwa kosa la kupiga picha ya aibu na kuiweka kwenye mitandao ya kijamii. Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi ...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamsaka Abdallah Mohamed (40), fundi friji mkazi wa Mataya, wilayani Bagamoyo, kwa tuhuma za kumuua mzazi mwenzake, Naomi Mwakajengele (28), mwalimu wa Shule ya Msingi M ...
Siku mbili kabla ya mkutano wa marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) na Jumuiya ya Afrika ...
Raia wa China, Weng Jianjin amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu, yakiwamo ya kukusanya na kuendesha biashara ya upatu na kujipatia Sh34.7 bilioni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results