Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi ameishutumu Rwanda kuwa chanzo cha kukosekana kwa utulivu katika eneo hilo, katika kujibu vikali maoni ya waziri wa baraza la mawaziri wa ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji wa Goma na wanaripotiwa kuelekea kusini ...