Helikopta iliyombeba rais wa Iran imehusika katika ajali, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. Chanzo cha picha, Mehr News Rais wa Irani Ebrahim Raisi alikuwa Azerbaijan mapema leo ...
Ebrahim Raisi ni kiongozi wa kidini mwenye msimamo mkali aliye karibu na Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ambaye kuchaguliwa kwake kama rais mwaka 2021 kuliimarisha udhibiti wa ...
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekosoa mbinu ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutafuta mazungumzo wakati akiishinikiza nchi hiyo. Pezeshkian alitoa hotuba katika mji mkuu wa nchi hiyo ...
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iran (IRNA), Zarif amewasilisha barua hiyo kwa Rais Masoud Pezeshkian. Hii itakuwa ni mara ...
Jenerali mmoja wa Iran ameonya kuwa nchi yake bado ina nia ya kumuua rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ili kulipiza kisasi kutokana na mauaji ya Kamanda Mkuu wa jeshi la Iran, jenerali Qasem ...
The homegrown warship has been named after Rais Ali Delvari, a national hero who organized popular resistance against the British forces after the invasion of Iran in 1915. The new military vessel ...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amemshukuru Rais wa Marekani Donald Trump kwa kutuma silaha, ambazo almesema ...