Maelezo ya picha, Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki asema baraza la mawaziri la Uholanzi lina mabaki ya Ki Nazi 11 Machi 2017 Rais Erdogan wa Uturuki amelituhumu baraza la mawaziri la Uholanzi ...
"Rais wetu amesema wazi, Uturuki inataka kushiriki katika majukwaa yote muhimu, ikiwa ni pamoja na BRICS," alisema Omer Celik, msemaji wa chama tawala cha Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
Wito wa kiongozi wa wanamgambo wa Kikurdi la PKK, Abdullah Ocalan akilitaka kundi hilo kuweka silaha chini umepokelewa kwa ...
Hata hivyo wakati huo huo, serikali ya Uturuki inafanya mazungumzo na kiongozi ... Tayyip Erdogan kukabili duru ya pili katika uchaguzi wa rais wa mwaka 2023 kwa mara ya kwanza na kushindwa ...
Baada ya mwaka wa mvutano, nchi hizo mbili zilianzisha uhusiano wa kidiplomasia kwa kusaini mkataba wa Ankara mnamo mwezi wa Disemba mwaka jana huko Uturuki ... nchi mbili na Rais wa Somalia ...
anatarajiwa kukutana na waziri mkuu wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, pamoja na rais Abdullah Gul na maswala ambayo yatajadiliwa katika mkutano huo ni mgogoro wa Syria na nia ya Uturuki kuomba ...
Baada ya kukutana na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan jana Jumanne, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine alisema, “Ni muhimu kwamba majadiliano yoyote juu ya kumaliza vita hayafanyiki nyuma ...
SERIKALI Uturuki, Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA). Makamu Mkuu wa MUHAS, Profesa Appolinary Kamuhabwa, Rais wa TIKA, ...
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema imeiomba Marekani kufikiria kurejesha safari za ndege za moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili.