Rais wa Tanzania John Magufuli amewashauri wanawake waache kutumia dawa za kupanga uzazi akisema kuwa nchi inahitaji watu zaidi. "Wanawake sasa wanaweza kuacha kutumia dawa za kupanga uzazi," Rais ...
2 Aprili 2018 Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli ameupuuzilia mbali waraka wa maaskofu uliotolewa wakati wa kuanza kwa msimu wa Pasaka akisema hauna msingi wowote ule. Aliendelea kwa kusema pia ...