Haya ndiyo mazingira ambayo Rais mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera, anajikuta nayo wakati wa ziara yake ya kwanza nchini Tanzania inayoanza Oktoba 7, mwaka huu. Uhusiano baina ya Tanzania umekuwa ...
Kwanza kama mshitaki, na kisha kama mshitakiwa. Kabla ya Dk Chilima kuwa makamu wa rais mwaka 2014, alikuwa mkurugenzi mkuu wa kampuni ya simu ya Airtel Malawi, raia wa kwanza wa Malawi kuongoza ...