Je umewahi kusikia ramani ya bara la Afrika iliyochorwa katika hali isiyo ya kawaida juu ya jiwe? Huko mkoani Njombe, Kusini magharibi mwa Tanzania, watu wamekuwa wakimiminika kwenda kujionea ...
Mwaka 1998 D Knob alianza muziki kwa kujifunza kupitia nyimbo za Tupac, miaka mitano baadaye jina lake likachomoza katika ...
Picha iliyochukuliwa na kifaa cha ramani za Google ilisambazwa sana kwenye mitandao baada kuchapishwa na mtandao wa kijamii wa Reddit na kuibua kila aina ya tetesi kutokana na muonekano wake wa ajabu.