Ziwa Ngosi linapatikana kwenye milima ya Uporoto, Mkoa wa Mbeya nyanda za juu kusini mwa ... ziwa la Ngosi ni sawa na mchoro unao onekana wa ramani ya bara la afrika pamoja na visiwa vyake uliopo ...
Licha ya mkoa wa Mbeya kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa chakula na aina mbalimbali za matunda nchini Tanzania, mtoto mmoja kati ya watatu mkoani humo ameathirika na utapiamlo na udumavu ...