Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trillioni 2.17 za Gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika Mkoa wa Pwani kilomita chache ... mwa ufukwe wa bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa Badra Masoud ...