Waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ametoa taarifa juu ya wafungwa walioachiwa huru katika sherehe za miaka 60 ya ... kazi Wafungwa wote wa kike walioingia na mimba ...
Rais John Pombe Magufuli, amemuapisha mkuu mpya wa majeshi ya ulinzi nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo. Sherehe za kuapishwa zilifanyika ... ya majeshi kama vile sare na vifaa, vinajengwa.