Nchini Japani, elimu ya lazima huanza pale mtoto anapotimiza umri wa miaka sita. Watoto raia wa kigeni wanaweza kujiunga na shule za msingi za umma. Katika mfululizo huu, tunaelezea sheria za maisha ...
Wizara ya Elimu nchini Kenya imetangaza kuwa shule za msingi na upili zitafunguliwa mwaka 2021. Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amesama mitihani ya kitaifa sasa haitafanyika mwaka huu ...
Kabla ya kukamilika kwa Alhamisi hii, wanafunzi zaidi ya milioni moja nukta mbili nchini kenya watakuwa wameshapata matokeo yao ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane unaofahamika kwa kiingereza ...
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na mpango wa shule bora wanatarajia kuendesha utafiti wa ...
Kampuni ya Grumeti Reserves imetoa madawati 150 kwa shule tatu za msingi katika wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ili ...
Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa ...
LINDI: MKAGUZI Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Marwa Benedict, kwa kushirikiana na ...
Kuchapisha mtihani hii kutoka kwa mtandao iligharimu pesa nyingi zaidi na serikali haikutoa pesa za mtihani’’, anasema mwalimu mmoja wa gredi 3, Bi Alice Apondo, kutoka shule ya msingi ya ...
Wakati kukiwa na matukio ya watoto kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa kutokana na adhabu ya viboko, wito umetolewa kwa ...
Dodoma. Serikali inatarajia kujenga shule 103 za sekondari za elimu ya amali nchini ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi ...
Watoto raia wa kigeni wanaweza kujiunga na shule za msingi za umma. Katika mfululizo huu, tunaelezea sheria za maisha ya shule, maudhui ya masomo na matukio. Kipengele chetu cha leo ni kuhusiana ...