Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi huko huko Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1975 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari ya Lake iliyoko Mwanza mwaka 1977 hadi 1978.
Mwili wa marehemu, Mhoja Maduhu (18), aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mwasamba iliyopo ...