Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika Jan ...
Zaidi ya wanafunzi 400 wa shule za sekondari mkoani Mwanza wameelimishwa kuhusu faida za uwekezaji kwenye masoko ya mitaji, kuwa ni pamoja na kujiwekea akiba kwa ajili ya matumizi ya baadaye.
Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi huko huko Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1975 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari ya Lake iliyoko Mwanza mwaka 1977 hadi 1978.
Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Nchini KNUT Wilson Sossion kwamba wanafunzi wa shule za Sekondari nchini wanafaa kuruhusiwa kumiliki simu za rununu na kuwa nazo wakiwa shuleni ...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) ...