Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake leo Alhamisi tarehe 6 Januari 2022. Kwa mujibu wa barua aliyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema uamuzi huo wa ...
Sasa amekuwa Spika wa saba wa Bunge la Tanzania akiwashinda wagombea wengine wanane, akijizolea kura 376. Dkt. Tulia anakuwa Spika wa pili mwanamke kuliongoza Bunge hilo. Katika historia ya ...
Viongozi wa dini ya Kiislamu Mkoa wa Mbeya wamefanya dua maalumu ya kuliombea Taifa na viongozi wa Serikali akiwepo Rais ...
Kaunda ambaye ni wakili wa Mahakama Kuu, alilalamika kuwa uamuzi wa Spika ulikiuka ibara ya 71(1)(e) ya Katiba inayosema ...
HIVI karibuni ulifanyika Mkutano wa Wenyeviti wa Kamati za Afya kwa Mabunge ya Afrika uliojadili na kutathmini ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na ...
SIKU ya Wanawake Duniani huadhimishwa Machi 8, kila mwaka hivyo kesho wanawake wa Tanzania wataungana na wengine ...