Muziki wa Taarab, kama moja ya aina ya muziki ya Waswahili una historia ndefu. Tangu mwanzo wa karne ya ishirini Taarab imekuwa maarufu kisiwani Zanzibar, na Mwambao wa Afrika Mashariki kwa jumla.
Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini Burundi umetoweka kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lakini vizazi vipya vimeamka na kusema kutoweka kwa taarabu ni kutokomeza ...
Among the Swahili communities, live performances of taarab continue to be regarded as an essential ingredient for any form of celebrations – especially weddings or cultural events.
These veterans retained Taarab’s signature tune, melody, and songcraft, as it were since the Sultan of Zanzibar, brought bands from the Middle East to entertain him in the 1880s. Swahili lyrics ...