Msanii Kanumba alijipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania kutokana na fani ya uigizaji wa filamu za Kiswahili maarufu kama Bongo Movies. Akizungumza kwa niaba ya Serikali Waziri wa Habari ...
Marehemu Steven Kanumba alifariki majira ya saa nane ... vikubwa ambaye aliitangaza fani ya filamu nchini Tanzania maarufu kama 'Bongo Movies.' Mazishi yake yalichukua sura ya kitaifa kutokana ...