Maafisa hao wawili wanaokabiliwa na mashtaka katika mahakama hiyo ni Katibu Mkuu wa Chama Dkt Vicent Mashinji na mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko. Wawili hao, kupitia mawakili wao walikuwa ...
Maelezo ya picha, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko waishinda rufaa ya DPP 1 Machi 2019 Mahakama ya Rufani Tanzania, imetupilia ...
Amesema licha ya huduma za afya na miundombinu kuboreshwa, hata elimu ya wanaokosoa wameipata kutokana na juhudi za CCM.