Zaidi ya watu 4,000 wamepoteza maisha na maelfu kujeruhiwa na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea kusini-mashariki mwa Uturuki, karibu na mpaka wa Syria, mapema Jumatatu asubuhi. Tetemeko hilo ...
Soma zaidi: Idadi ya vifo nchini Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi la Jumatatu imeongezeka hadi 19,388, kwa mujibu wa Rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdogan. Idadi ya vifo vilivyoripotiwa katika ...
Uturuki, nchi ambayo kwa kiasi fulani iko barani Ulaya na Asia, inapatikana katika mojawapo ya maeneo yenye mitetemeko mingi ya ardhi duniani na imewahi kukumbwa na matetemeko kadha mabaya.
Utafiti wa NHK umebaini kuwa watu wengi waliojibu utafiti huo wanaoishi eneo la kaskazini mashariki mwa Japani lililokumbwa na tetemeko kubwa la ardhi na tsunami mwaka 2011, wanatoa wito kwa ...
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 6.6 kwenye kipimo cha Richter liliukumba mkoa wa Miyazaki kusini mwa Japani jana Jumatatu jioni kwa saa za nchi hiyo. Tsunami ilifikia maeneo kadhaa ya ...