Maelezo ya picha, Dkt Mahiga akikata utepe kuashiria ufunguzi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Israel jijini Tel Aviv 9 Mei 2018 Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt. Augustine Mahiga ...
Kupitia taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya ubalozi wa taifa hilo nchini Tanzania, ubalozi huo hatahivyo umesema kwamba utafuatilia kwa karibu matendo ya watu wanaoingilia na kuvuruga mchakato ...