Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), ...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly anatia saini mkataba mpya wa uhamiaji na Rwanda ili kujaribu kushughulikia wasiwasi kuhusu mpango wa serikali wa kuwapeleka wanaotafuta hifadhi ...
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema haki ya kuomba hifadhi ni lazima iheshimiwe. Ameyasema hayo bungeni wakati wabunge ...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, ...
Idara ya uhamiaji imethibitisha kuwa inamshikilia mwandishi wa habari Erick Kabendera kutokana na kuwa na mashaka na uraia wake, kamishna wa uraia na mdhibiti wa pasi Gerald Kihinga amethibitisha.
Wabunge wa Ujerumani wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kupiga kura kwa mara nyingine Ijumaa, kuhusu hoja ya hivi karibuni iliyopitishwa na bunge inayotaka sheria kali zaidi ya uhamiaji.
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis amelaani, siku ya Jumanne, Februari 11, kufukuzwa kwa wingi kwa wahamiaji, hatua iliyochukuliwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Katika barua iliyotumwa ...
UJERUMANI : KANSELA wa Ujerumani, Olaf Scholz, amesema kuwa haki ya kuomba hifadhi ni jambo la lazima na linapaswa kuheshimiwa.
Donald Trump pia amesaini sheria mpya inayoimarisha sera ya uhamiaji kwa kutoa kizuizi cha moja kwa moja cha wahamiaji walio na rekodi za uhalifu. Donald Trump ametangaza siku ya Jumatano nia yake ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.