Nchini Tanzania mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge - unaendelea. Reli hiyo itakayoanzia bandari ya Dar es Salaam hadi mji mkuu wa Dodoma na baadaye hadi nchi za jirani za ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ...
WAKULIMA wadogo wa eneo la Mfaranyaki, Kata ya Tungi na Yespa, Kata Kihonda Manispaa ya Morogoro, wamelilalamikia Shirika la ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, ameitaka Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kuhakikisha mifumo mizuri ya usambazaji wa nyaraka za wazi inaboreshwa ili ...
miundo mbinu ya kisasa, hekaheka nyingi za uzalishaji viwandani na biashara. Lakini kwa mujibu wa serikali mwaka 2023 ndiyo mwaka ambao ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, uliopigiwa kelele kwa miongo ...
HII ni kufuru. Manchester United itajenga uwanja mpya wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 100,000 wanaoketi, imeelezwa.
Baada ya kazi hiyo, amesema utekelezwaji wa miradi mipya ya madaraja makubwa unaendelea, likiwemo la Mto Pangani lenye urefu wa mita 525 sawa na viwanja vitano na robo vya mpira wa miguu.
Meneja Mkazi wa Benki ya Afrika (AfDB) Dk Patricia Leverley, anasema jiwe hilo la msingi lililowekwa la ujenzi wa barabara ...