Onyo hilo amelitoa leo mjini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yaliyofanyika mjini Dodoma. Aidha Rais Magufuli amekiri kuwa licha ya mafanikio ...
Maelezo ya sauti, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika 26 Aprili 2022 Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.