huku wenyeji wa visiwani, wengi wao wakiuona usafiri huo hauendani na utamaduni na imani walizonazo. BBC ilitembelea visiwani Zanzibar na kuzungumza na baadhi ya wakazi wa kisiwa hicho.
Paula Odek alisafiri hadi visiwani Zanzibar kubaini mengi zaidi juu ya Pweza. Katika utamaduni hasa wa wapwani supu ya samaki huyu hupendwa sana na kumekuwa na imani kuwa supu yake si supu tu ya ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amelishauri Shirika la Elimu, Sayansi na ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na ...
Ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), Audrey Azoulay imetajwa kuleta neema Tanzania kwa shirika hilo kuongeza utaalamu na msaada ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa dini nchini waendelee kukemea vikali vitendo vyote ambavyo ni kinyume na maadili ya dini na utamaduni wa Mtanzania.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results