Ingawa hakuna takwimu rasmi zinazoonyesha ukubwa wa tatizo la ngiri maji nchini Tanzania, lakini wataalamu wanasema, ugonjwa huo umeendea hasa katika maeneo ya pwani, na unaathiri zaidi wazee.
Hayo yamebainishwa leo Jumapili (Machi 16, 2025) Mkoani Mbeya wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati hiyo kukagua shughuli za ...
Ingawa matokeo yake si ya haraka, nchi zinazoendelea kama Tanzania ... maji kiongezeke kwenye mitambo yake kwa "kudra za mvua" mambo mengine ambayo yanatajwa kufanywa na Dawasa sasa ni kutumia ...
Akizungumza katika ziara hiyo, Aweso amesisitiza umuhimu wa kutunza miundombinu katika kipindi hiki ambacho mamlaka inaendelea na mchakato wa kuwaunganishia wananchi huduma hiyo.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika ...
Wananchi wamesema ili CCM kijihakikishie ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 lazima zitatuliwe.