Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Rais wa Zanzibar asema visiwa hivyo vina wagonjwa 6 20 Julai 2021 Zanzibar imesema kuwa kuna maambukizi machache ya Covid 19 visiwani humo. Serikali ya ...
Kile ambacho wengi hawakifahamu na hakizungumziwi sana katika filamu ni kuwa alizaliwa katika visiwa vya karafuu vya Zanzibar kwenye familia ambayo asili yake ni India na Uajemi. Filamu hiyo mpya ...
Wiki iliyopita, Zanzibar iliadhimisha Siku ya Sheria, kama ilivyofanyika Tanzania Bara na katika mataifa mengi duniani.
Hii inatokana na makubaliano ya maridhiano yaliofikiwa karibuni baina ya Rais Amani Karume wa Visiwa vya Zanzibar na katibu mkuu wa chama cha CUF, Seif Shariff Hamad, katika kulituliza joto la ...
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.
Maalim aliteuliwa kuwa kushika wadhifa huo kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani humo, baada ya kuibuka mshindi ...