Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza zaidi ya majina ya wanafunzi 8,436 kutoka vyuo vya elimu ya juu 52 nchini wasiokuwa na sifa ya kufanya masomo ya ngazi hiyo. Sehemu ya taarifa kwa umma ...
Ripoti ya utafiti wa ajira na mapato katika sekta rasmi Tanzania ya mwaka 2022/2023 inabainisha asilimia 22.3 ya wahitimu wa vyuo vikuu ndio waliopata nafasi ya kuajiriwa katika sekta rasmi.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani Mwanza umesema unaunga mkono harakati za Umoja wa Walimu Wasio na Ajira ...
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Khamis Abdallah Said, amewataka wanafunzi wa kike kuchangamkia fursa za kimasomo zinazotolewa na serikali badala ya kuharakia ndoa. Aliyasema ...
Maelfu ya wanafunzi wa baadhi ya vyuo vikuu nchini Kenya huenda wanasomea ... Malkia wa Pembe za ndovu' afungwa miaka 17 Tanzania Trump ashtakiwa na serikali za majimbo Marekani Buhari atoa ...