Katika orodha mpya iliyotangazwa na Ikulu Mei 15 mwaka huu, katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni wakuu wa mikoa tisa - karibu theluthi moja ya wote ndiyo ambao wameondolewa , kustaafu au kupangiwa ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadiliko ya Wakuu wa mikoa, huku wengi wao wakihamishiwa katika mikoa mipya na wengine wakistaafu utumishi wa umma. Taarifa ya uteuzi wa wakuu ...
Takwimu za wagonjwa wapya wa ukoma hapa nchini Tanzania zinaonyesha ugonjwa huo kupungua kwa kasi ukilinganisha na miaka ya ...