Katika orodha mpya iliyotangazwa na Ikulu Mei 15 mwaka huu, katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni wakuu wa mikoa tisa - karibu theluthi moja ya wote ndiyo ambao wameondolewa , kustaafu au kupangiwa ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadiliko ya Wakuu wa mikoa, huku wengi wao wakihamishiwa katika mikoa mipya na wengine wakistaafu utumishi wa umma. Taarifa ya uteuzi wa wakuu ...
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba, amesema mikoa 16 nchini itanufaika na maendeleo ya nishati ya Jotoardhi na ...
DODOMA: WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Vikosi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia mbinu ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza kutolewa kwa elimu ya biashara ya hewa ukaa (kaboni) ili wadau muhimu kwenye ...