Sahihisho 02 Agosti 2018: Taarifa hii awali ilitaja kwamba wanariadha wa Tanzania ni miongoni mwa waliokuwa wamekwama katika uwanja wa ndege Lagos kuelekea kushiriki katika mashindano hayo Asaba.
Chanzo cha picha, Getty Images Tanzania itawakilishwa na wanariadha watano watakaokamilisha kikosi cha taifa hilo mjini Asaba nchini Nigeria kushiriki mbio hizo. Wilhelm Gidabuday katibu mkuu wa ...
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) imeweka wazi itashirikiana na mwanariadha Gabriel Geay kuhakikisha mashindano ya Mbio za Nyika aliyoyaanda nyota huyo yanafanyika kwa ubora mkubwa.