Watoto wang'ara katika tuzo za filamu za Sinema ... Maelezo ya picha, Mmoja wa wasanii waliyotumbuiza usiku wa tuzo hizo. Maelezo ya picha, Baadhi ya wasanii wa filamu nchini Tanzania wakipokea ...
Nimegundua waalimu huolewa haraka sana. Na pia huolewa kwa wingi tofauti na fani zingine. Waalimu wana upako wao na ndoa.
NYOTA wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel amesema zile drama alizokuwa anacheza zamani zimekwisha muda wake na sasa ni mtu mwingine ...
Baada ya vita vya takriban miaka mitatu, wasanii ... Takriban watoto milioni moja wameachwa bila makaazi , jambo lililoliharibu taifa ambalo lilikuwa na matumaini makubwa wakati wa uhuru wake ...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, 45, mwaka huu unaadhimisha miaka 25 tangu ametoka kimuziki na sasa anaheshimika na wengi kama msanii aliyeweza kuwa katika kilele cha mafanikio ya kazi ...