Akizungumzia madai ya waandamanaji hao, Rais Kikwete amesisitiza kuwa raslimali za nchi ni mali ya taifa zima. Amesema mkoa wa Mtwara haujatelekezwa na kusema kwamba kuna mipango ya kutumia gesi ...
Mimba za utotoni zimekuwa zikikatisha ndoto za wanafunzi wengi wa kike, baada ya kukata tamaa ya kuendelea na masomo.Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa nchini Tanzania ambako watoto wengi wa kike ...
MTWARA: RAI imetolewa kwa wazazi na wananchi kwa ujumla mkoani Mtwara kuendelea kutoa ushirikiano katika shughuli zote ...