Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Kitila Mkumbo, ambaye aliwahi kumtaka Rais John Magufuli kuacha kuondoa wasomi na kuwapa madaraka, ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa Wizara ya Maji ...