Rais Magufuli amewaagiza Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi wa Tanzania pamoja na Waziri wa Ujenzi na Usafirishaji wa Zanzibar kusitisha usajili wa meli mpya nchini humo 'mpaka itakapotangazwa vinginevyo'.
Watu wasiopungua 187 wamekufa baada ya meli iliyokuwa imezidisha mizigo kuzama katika pwani ya kisiwa cha Zanzibar ikiwa na watu takriban 800. Msemaji wa serikali amesema watu 620 walionusurika ...