japo hakuzaliwa Zanzibar kama ilivyo kwa Rais Samia. Urais wake umeandika historia mpya kwa Tanzania na nje ya mipaka ya nchi hiyo. Ukweli mchungu ni kwamba Urais huo umetokana na bahati mbaya ya ...
Asubuhi ya leo, Alhamisi Oktoba 2, 2020 Dkt Hussein Mwinyi amekula kiapo cha urais wa visiwa vya Zanzibar. Dkt Mwinyi anakuwa kiongozi wa nane kuiongoza Zanzibar ambayo ni sehemu ya Tanzania.