Maelezo ya picha, Pete hiyo ilikuwa ni kama zawadi kwa Mke wa rais Mugabe, Bi Grace, kuadhimisha miaka 20 ya ndoa. 23 Disemba 2016 Jaji mmoja nchini Zimbawe amemwaagiza mke wa rais Robert Mugabe ...