Mahakama Kuu ya Tanzania imesema hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa hukumu ya kifo ni kinyume na katiba ya nchi. Watetezi wa haki za binadamu walifungua kesi kutaka adhabu hiyo ifutwe ...
Mahakama nchini Tanzania imetoa agizo la kukamatwa kwa aliyekuwa malkia wa urembo nchini humo Wema Sepetu. Uamuzi huo umetolewa na hakimu mkazi mwandamizi Maira Kasonde baada ya mshtakiwa kudaiwa ...
Kesi iliyowasilishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dhidi ya Rwanda mbele ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), huko Arusha, nchini Tanzania, imeanza kusikilizwa.