Dar es Salaam. Joto la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limeendelea kupanda jijini Arusha ambapo Paul Makonda na Mrisho Gambo wanatajwa kuwa katika mvutano wa kuwania ubunge. Makonda ambaye ni Mkuu wa ...