Leo Jumapili Februari 9, 2025 Namibia, Afrika na dunia kwa ujumla imeamka na taarifa mbaya ya kifo cha mwanamema na ...
The girl is now in hospital receiving critical medical treatment. Two-year-old Habiba al-Askari left the besieged Palestinian enclave after a mammoth effort at the “highest level” in Amman ...
"Tayari kumekuwa na mapigano ya kwanza ya jeshi dhidi ya askari wa Jeshi la Ukombozi wa Kitaifa (ELN) (...) Amri ni kuchukua eneo hilo," amesema waziri kutoka mji wa mpakani wa Cucuta, akibainisha ...
De Perre amesema MONUSCO imepokea idadi kubwa ya watu wanaotafuta hifadhi, wakiwemo maafisa na wapiganaji au askari waliosalimisha silaha zao. Kuna uhaba mkubwa wa maji, chakula na vifaa vya matibabu.
Kwa kutumia mbwa wa kunusa, askari wa Rwanda wakikagua mali zao, huku mikoba yao ikiwa wazi chini, kisha askari hao walijiwasilisha mmoja baada ya mwingine kwa mamlaka mjini Kigali kwa ajili ya ...
"Walikuajiri kwa mshahara wa $8,000 kwa mwezi, unakula vizuri," Ngoma alifoka, akionesha tofauti kati ya malipo hayo na malipo ya askari wa jeshi la Congo. "Tunapigania maisha yetu ya baadaye.
Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
Aliegesha gari nje ya gereza hilo akaelekea kwenye lango la kuingilia gerezani. Askari wa magereza waliokuwa kwenye lango hilo walikuwa wakimtambua wakampisha apite. “Karibu afande.” Askari mmoja ...
Taarifa iliyotolewa Jumapili na ofisi ya mwendesha mashtaka wa kijeshi inasema kuwa askari hao wanakabiliwa na mashitaka ya vurugu dhidi ya raia, ikiwa ni pamoja na mauaji, uporaji, na ubakaji.