Kwa mujibu wa ripoti hiyo, asilimia 57 ya taka jijini Dar es Salaam huishia mitaani kati ya tani 5,300 zinazozalishwa kila ...
Mitawi amesema mazingira ni sekta mtambuka inayogusa Wizara zote za kisekta ndani ya Serikali na hivyo upo umuhimu wa kuandaa ...
Gazeti hili wiki hii limechapisha mfululizo wa makala zinazohusu tatizo la kuzagaa kwa taka katika miji mbalimbali nchini.
Hata hivyo, mwili wa mwanadamu unakuwa na mabadiliko fulani ili kukabiliana na mvutano uliopo kati ya anga na dunia. Kwa ...
DIRA ya Taifa ya Maendeleo 2050 inataka nchi ifi kie maendeleo endelevu yanayozingatia uhifadhi wa mazingira. Rasimu ...
WHO inapanga kupunguza lengo lake la ufadhili kwa shughuli za dharura hadi dola milioni 872 kutoka dola bilioni 1.2 katika ...
Wakati mzozo wa kibinadamu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ukizidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi mapya ya waasi wa M23, Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto, UNICEF ...
JUZI, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) lilitia saini makubaliano ya ukusanyaji wa taka za plastiki ...
Binadamu hutegemea rasilimali za wanyamapori na bayoanuwai ili kukidhi mahitaji yao. Tunahitaji chakula, mafuta, makazi, na ...
TARI inaendelea na utafiti wa kina kubaini ikolojia na baiolojia ya funza mwekundu, hasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Matokeo ya utafiti huu yataiwezesha serikali kufanya uamuzi sahihi kutatua ...
Bila mabadiliko makubwa kwa sekta hizi na bila kupunguza athari za hewa ya ukaa, kuna matumaini kidogo ya kulinda sayari dhidi ya athari mbaya za joto ulimwenguni. Upeperushaji huu wa moja kwa moja ...
WAKATI hatari za kijiografia na kisiasa zikiongezeka, nchi za Afrika Mashariki zimepewa changamoto ya kuimarisha sekta zao za nishati kwa haraka ili kujilinda dhidi ya athari za migogoro ya kimataifa.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results