Raila Odinga wa Kenya, Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti watamenyana na Richard Randmadrato wa Madagascar kuwania Uwenyekiti ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Mawaziri wa Ulinzi pamoja na Wakuu wa Majeshi wa nchi zinazochangia wanajeshi katika operesheni za kivita ndani ya Jamhuri ya ...
VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kumpangia kituo cha kazi Balozi Habib Galuss ...
Kenya inajiandaa vya kutosha kwa uwezekano wa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg (MVD) baada ya wagonjwa kadhaa kuthibitishwa katika mkoa wa Kagera nchini Tanzania siku ya Jumapili ...
Soma zaidi: Wanne wauawa, 25 wajeruhiwa kwa mabomu ya M23 Mwanadiplomasia mmoja wa Ulaya aliliambia shirika la habari la Reuters kwamba balozi na Ufaransa, Marekani, Rwanda, Uganda na Kenya ...
Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ufadhili wa zaidi ya Sh17. 8 bilioni kwa asasi za kiraia 11 nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza demokrasia kwa kujenga jamii yenye uwazi, haki, na ujumuishi ...
Nairobi, Kenya – Mkutano wa jinsia wa Afrika Mashariki wa 2025 ambao umekamilika hii leo jijini Nairobi nchini Kenya ... bahari pana ya wataalam; balozi wa amani na mwanariadha wa zamani ...
Kwenye upande wa pili wa nchi,waandamanaji katika mji mkuu Kinshasa walizishambulia balozi za mataifa kadhaa. Rwanda, Ufaransa, Ubelgiji, Marekani, Kenya ... wake waondoke nchini humo kufuatia ...
Huko England kampuni yake ndiyo iliyokuwa ikiunda magari aina ya Buty ambayo pia ilikuwa ikiunganisha magari ya aina hiyo nchini Afrika Kusini. Mzee Christopher Lee katika ujana wake aliwahi kuishi ...
Balozi wa Japani nchini China Kanasugi Kenji alizungumza na wanahabari jijini Beijing. Alisema mshitakiwa alisema anataka kuzungumza na familia ya mhanga wa tukio hilo, mwanasheria wa mhanga na ...