Raila Odinga wa Kenya, Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti watamenyana na Richard Randmadrato wa Madagascar kuwania Uwenyekiti ...
Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ufadhili wa zaidi ya Sh17. 8 bilioni kwa asasi za kiraia 11 nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza demokrasia kwa kujenga jamii yenye uwazi, haki, na ujumuishi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kumpangia kituo cha kazi Balozi Habib Galuss ...
JUMUIYA ya kimataifa, hususan mabalozi wa nchi mbalimbali walioko Tanzania, pamoja na Algeria, Uganda India na Marekani, ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Mawaziri wa Ulinzi pamoja na Wakuu wa Majeshi wa nchi zinazochangia wanajeshi katika operesheni za kivita ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameagizwa kwenda mstari wa mbele vitani ili k ...
This issue is preventing our website from loading properly. Please review the following troubleshooting tips or contact us at [email protected]. By submitting your ...
Senegal, taifa lenye watu zaidi ya milioni 18.5 liko kwenye mwelekeo wa kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya umeme. Benki ya Dunia inasema kiwango cha kupata umeme kwenye taifa hilo sasa ni ...
AKHS says cancer rates in Kenya and Tanzania are on the rise, with nearly 100,000 new cases and 60,000 deaths annually. The burden is heavier for women, who represent 61 per cent of cancer cases ...
Nairobi, Kenya – Mkutano wa jinsia wa Afrika Mashariki wa 2025 ambao umekamilika hii leo jijini Nairobi nchini Kenya ... bahari pana ya wataalam; balozi wa amani na mwanariadha wa zamani ...
Ndege ya abiria imeshika moto katika uwanja wa ndege mjini Busan nchini Korea Kusini jana Jumanne usiku, lakini kila mmoja aliyekuwemo ndani ya ndege hiyo aliweza kutoka.