KAMATI ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge ...
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira) wa Chama cha ACT Wazalendo, Petro Ndolezi, amesema kuwa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi unapaswa kuzingatia vigezo vya msingi ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amewashukuru wananchi kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne tangu ...
Kwa kauli ya viongozi wa serikali karibu wote, wanataja miundo mbinu kama sehemu muhimu ya kuhakikisha tatizo la umeme nchini ...
Kaunda ambaye ni wakili wa Mahakama Kuu, alilalamika kuwa uamuzi wa Spika ulikiuka ibara ya 71(1)(e) ya Katiba inayosema ...
CHUO cha Ustawi wa Jamii kimeahidi ujenzi wa ukumbi wa mihadhara katika kampasi yake ya Kijitonyama, Dar es Salaam, ...
Kanisa Katoliki limeitaka Serikali kuheshimu fani ya ualimu na kurejesha hadhi yake ikiwamo walimu kulipwa mshahara ...
Agosti 18, mwaka 2023 ni siku ambayo, John Chalya,mkazi wa kijiji cha Mwamanenge wilaya ya Maswa mkoani Simiyu hatoisahau katika maisha yake, kutokana na kumpoteza mtoto wake, Nkamba John (3) ambaye a ...
Sasa hivi nina mpango wa kufanya shoo zangu. Nina shoo ya tofauti sana bungeni nasubiri kupewa ratiba na Madame Tulia ( Spika wa Bunge Tulia Ackson), hiyo imetokana na picha na perfomance yangu ya ...
KLABU ya Simba imetoa taarifa rasmi kwamba haitashiriki kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopangwa kufanyika leo, Machi 8, ...
Kiongozi mpya wa muungano wa Social Democrats bungeni, Lars Klingbeil ametoa wito wa mazungumzo ya dhati na Friedrich Merz kuhusiana na mchakato wa kuunda serikali ya muungano na chama cha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results