Wabunge wanne wa Tanzania wameliamsha tena bungeni wakitaka Serikali iangalie upya kikokotoo cha mafao ya kustaafu kwa kuwa ...
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.
Kiranja wa upinzani bungeni nchini Tanzania Tundu Lissu ameshtakiwa na matamshi ya uchochezi Katika mashtaka hayo mahakama iliambiwa kwamba mbunge huyo alitoa matamshi ya uasi dhidi ya serikali ...
Baadhi ya wabunge wanawake nchini Tanzania wanataka mbunge mwenzao Condester Sichwale aliyetolewa nje ya kikao cha bunge, kwa madai ya kukiuka kanuni za mavazi,aweze kuombwa radhi. Spika wa bunge ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakikishe inatoa kandarasi za ujenzi ...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasilisha pendekezo la nyongeza ya bajeti ya serikali 2024/2025 jumla ya Shilingi ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, Rais Samia Suluhu Hassan.