Kama wiki iliyopita, mabadilishano ya tano yatafanyika katika ... Israeli itawaachia huru wafungwa 183 wa Kipalestina, wakiwemo 18 waliohukumiwa kifungo cha maisha jela. Pamoja na watu mashuhuri ...
Maelezo ya picha, BBC Dars inatoa vipindi vya elimu kwa watoto wa shule Kipindi cha Dars kilizinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2023 kwa ajili ya watoto nchini Afghanistan, wakiwemo wasichana ...
Vilevile anatazamiwa kutoa wito kwa kuondolewa mara moja kwa wanajeshi wa Rwanda katika maeneo ya Kongo ambayo wanakalia kinyume cha sheria, kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma ili ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ... katika mji wa kijani wa Masisi, DRC. Alilelewa na wazazi wa kabila la Tutsi, na Makenga aliacha shule akiwa na umri wa miaka 17 ili kujiunga na kikundi cha waasi ...
Katika kuhakikisha wanafunzi wa sekondari hawapati daraja ... Uamuzi huo umekuja baada ya kuongezeka kwa kiwango cha wanafunzi wanaopata daraja la nne na sifuri kwa miaka mitatu mfululizo katika ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kusambaza picha za mjongeo zenye maudhui machafu, ambazo zimeunganishwa na majengo ya Shule ya Sekondari ya Baobab, hali ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori ... kiti chake anatembea nacho wakati wa mapumziko yote hiyo ni kutokana na uhaba wa madawati” amesema nchama lusalo sipewa mwanafunzi wa kidato ...
mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe wilayani humo. Mkuu wa Wilaya ...
ambayo masomo yake yalikuwa yakitolewa usiku katika Shule ya Mtakatifu Barnabas ya Kanisa la Anglicana. Historia ya maisha yake Kiongozi huyo alizaliwa katika mji wa Etunda, Kijiji cha Ongandjera Mei ...
Baraza la Madiwani Manispaa ya Geita limekerwa na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vikundi vya vijana wahalifu kujificha eneo lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji Kata ya Bombambili kuvuta bangi na ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.