Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ... zikiwemo shule za msingi tano na sekondari nne. Aidha, alifanikiwa kuanzisha tawi la Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo na kupanua Chuo Kikuu ...
Alisema hali hii inadhuru sifa ya Mkoa wa Arusha kama Kitovu cha Utalii kwa Tanzania Bara. Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, John Kayombo, alieleza kuwa mitambo hiyo itahakikisha ...
Kikundi cha pamoja cha serikali na MONUSCO kimeanzishwa ili kuratibu masuala mbalimbali, yakiwemo yale ya usalama, haki za binadamu, masuala ya kibinadamu na mawasiliano, pamoja na hadhi ya kisheria ...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Human Right Watch limechapisha taarifa lituhumu serikali za Africa namna gani zimeshindwa kulinda haki za raia wake. Inatokea sasa hivi Marekani ...
Serikali ya Ujerumani na vyama vya upinzani ... uhamiaji kuwa kipaumbele kwenye kampeni zake katika jitihada za kupambana na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia, AfD, ambacho msimamo wake ...
Amesema mapigano hayo ni M23 upande mmoja na upande mwingine ni jeshi la serikali ... za kuleta amani DRC na hivyo “inakaribisha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuwa na mkutano wa viongozi ...
Hemed Suleiman Abdulla amebainisha kuwa serikali imekamilisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata mwani ambacho ni cha kwanza kwa nchi za Afrika. Abdulla alisema hayo wakati wa kuelezea mafanikio ...
Dodoma. Ikiwa imebaki siku moja kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ... ikiwa ni pamoja na kutetea haki za wanachama waliopokonywa haki zao wakati wa uchaguzi wa serikali ...
Alisomea Chuo cha Ukufunzi Uingereza. Kwa upande wa maisha ya utumishi ... ubunge wa Bunda na kisha kuteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi kuwa Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa na baadaye Waziri wa ...
Wasira alipata elimu ya juu nchini Marekani katika Chuo Kikuu cha American ... Nyadhifa za uwaziri Wasira alishika nafasi mbalimbali za uwaziri. Chini ya utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, aliwahi ...
Mkoa wa Dodoma, Bi Nasriya Alli aliainisha namna ambavyo wanatekeleza tafiti hiyo mkoani humo kuanzia hatua ya kukutana na uongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji, kuainisha mipaka ya ukusanyaji wa ...