Donald Trump ametangaza kuwa anataka kubadilisha gereza la Guantanamo kuwa kituo cha kizuizini cha wahamiaji haramu 30,000. Mashirika yanashutumu hali ya kizuizini isiyo ya kibinadamu na kuonya ...
Songwe. Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe limesitisha kazi ya upimaji wa ardhi iliyokuwa likiendelea katika baadhi ya kata wilayani humo. Hatua hiyo imekuja baada ya wananchi wa ...
Türk pia ameonesha wasiwasi juu ya kuzorota kwa hali ya usalama na utawala wa sheria katika Goma baada ya wafungwa wapatao 4,763 kutoroka kutoka gereza la Muzenze, gereza kubwa zaidi Goma, tarehe 27 ...
Mapema leo, waasi wa M23 walivamia katikati ya mji wa Goma, ambapo hali bado ni tete na maelfu ya wafungwa wanaripotiwa kutoroka kutoka gereza moja la mji huo. Msemaji wa jeshi la Rwanda, Ronald ...
Mkango Resources Limited, the company behind the Songwe Hill Rare Earth Project in Phalombe District, is poised to bring significant investment and global exposure to Malawi’s mining sector.
Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani.Akiwa na umri wa miaka 78 na miezi 7, Trump ni rais mteule mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Marekani. Hafla ya uapisho ...
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Ester Mahawe ukiwa tiyari kwenye eneo la makaburi kwa ajili ya maziko nyumbani kwake eneo la ngaramtoni ya chini jijini Arusha, picha na Bertha ...