MAKAMU wa Kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amejiandikisha katika Daftari la Wapigakura wapya katika kituo cha ...
MASHINDANO ya 25 ya kusoma Quran Tukufu ya Mabara yote Duniani, yanatarajiwa kufanyika nchini katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
Unguja. Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikihitimisha shughuli ya uandikishaji wapigakura wapya awamu ya pili, Makamu wa Kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman ni miongoni ...
Ukuaji wa pato la Taifa Tanzania unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 6 mwaka huu kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022, ...
Putin alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mgeni wake kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko, ...
HADI ilipoanza nusu ya mwisho ya karne ya 20, yaani mwaka 1951 idadi ya mashabiki wanawake waliofika uwanjani kuangalia ...
Viongozi mbalimbali wa upinzani wakiwemo marais wawili kutoka  mataifa ya Afrika na wengine kutoka kwingineko duniani,  siku ...
Wakati huu, tunakuletea mahojiano na Mtanzania Asha Abdulla Maisara kutoka Zanzibar na Mjapani Furumoto Makoto, mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Masomo ya Kigeni cha Tokyo, TUFS. Mahojiano hayo ...
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye mchezo ...
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) inatarajia kutoa ajira kwa vijana hasa katika tasnia ya habari, mara baada ya kukamilika kwa mradi wa jengo jipya na mtambo wa uchapishaji magazeti ...